shule za kiufundi zashiriki siku tatu kaunti ya Meru - Citizen TV Kenya
Gavana wa Meru Isaac Mutuma Amefungua mashindano ya siku tatu ya Michezo kwa wanafunzi wa Shule za kiufundi kutoka Meru, na kusihi vijana kuzingatia talanta zao na Masomo ili wajiendeleze kimaisha