Ilikuwa furaha kubwa kwa Wazazi, walimu na washikadau wa elimu eneo la Mugirango Kusini walipokutana kusherehea shule ya msingi iliyotia fora kwenye michezo. Shule ya Otendo ilifanya vyema licha ya hali mbaya ya miundo msingi inayoshuhudiwa.
Shule ya Otendo imejizatiti kwenye mashindano ya shule Kisii - Citizen TV Kenya