Shule 20 hewa zilipata zaidi ya shilingi milioni 17 kutoka katika bajeti ya serikali

7 hours ago 1


Shule 20 hewa zilipata zaidi ya shilingi milioni 17 kutoka katika bajeti ya serikali, huku uchunguzi maalum uliofanywa na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ukifichua kwamba baadhi ya shule zimetumia fedha zao kinyume cha sheria. Hata hivyo uchunguzi pia ulionyesha kwamba shule nchini zina upungufu wa bajeti ya shilingi bilioni 117.
Open Full Post