Shirika la utafiti wa misitu KEFRI lasaidia wakazi kupanda nyasi

6 hours ago 1


Shirika la utafiti wa misitu nchini, KEFRI, kwa ushirikiano na shirika la Leba duniani, ilo, limeanzisha mchakato wa kufyeka miti aina ya Mathenge katika maeneo ya Pelekech na kuanzisha kilimo cha nyasi ya mifugo kama njia mojawepo ya kukabiliana na mmea huo unaosababisha wanyama wengi kufa.
Open Full Post