Shirika la msalaba mwekundu lazindua kituo cha Majanga - Citizen TV Kenya

7 hours ago 55


Shirika la Msalaba mwekeundu kwa ushirikiano na serikali ya kaunti ya Lamu limezindua ujenzi wa kituo maalum kitakachotumika kuhifadhi vyakula,dawa na malazi ili kukabiliana na majanga
Open Full Post