Serikali yasambaza miche 400,000 ya chai Kericho na Bomet - Citizen TV Kenya
Serikali imesambaza miche 400,000 ya chai ya kiwango cha juu kwa wakulima wadogo katika kaunti za Kericho na Bomet kama sehemu ya mkakati mpana wa kufufua sekta ya chai na kuongeza tija kwa wakulima