Serikali ya kaunti ya Garissa pamoja na mamlaka ya barabara kuu nchini KENHA wametoa ilani kwa wafanyabiashara mjini humo ambao wamevamia sehemu ya barabara kuu ya Kismayo, kuanza kuondoa vibanda vyao la sivyo vitabomolewa
Serikali ya kaunti yatoa ilani kwa wenye vibanda kuvindoa - Citizen TV Kenya