Saba Saba: Video ya CCTV Ikionesha Wahuni Wakijaribu Kuvunja Ndani ya Duka la Jumla Yaibuka
Video ya kushangaza ya CCTV imeibuka ikionyesha wahuni waliovaa barakoa wakijaribu kuvunja duka la jumla Murang’a, wakati wa maandamano ya Saba Saba