Saba Saba: Mbunge rafiki ya Gachagua Gitonga Mukunji atupwa korokoroni kufuatia ghasia za maandamano
Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji alikamatwa huko Juja wakati wa maandamano ya kitaifa ya Saba Saba. Yeye ni mshirika wa aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua.