Saba Saba: Maina Kageni, Otile Brown ni miongoni mwa watu mashuhuri walioshtushwa na maandamano
Watu mashuhuri Kenya walizungumzia ghasia na vurugu vilivyoshuhudiwa kote nchini wakati wa maandamano ya Saba Saba, huku video ikiibuka na kuchochea hasira ya umma.