Ruaka: Mwanaume Aliyepatikana Ametupwa Barabarani Atambuliwa Huku Familia Ikizungumza
14 hours ago
3
Baada ya saa za uvumi kuhusu mwanaume aliyepatikana amepoteza fahamu Julai 1 huko Kiambu, familia yake hatimaye imejitokeza na kuthibitisha utambulisho wake.