Rigathi Gachagua afichua mazito adai uchomaji moto wa vituo vya polisi ulipangwa na Ruto, Ichung'wah
Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua alishangaa ni kwa nini maafisa wa polisi hawakuwakamata magaidi waliovamia mitambo ya usalama katika eneo la Mlima Kenya.