Rambirambi zinazidi kumiminika kufuatia kifo cha kadhi mkuu Sheikh Abdulhalim AHussein Jijini Momba
Rambirambi zinazidi kumiminika kufuatia kifo cha kadhi mkuu Sheikh Abdulhalim Hussein. Sheikh Abdulhalim alifariki jijini Mombasa na atazikwa baadaye leo alasiri. Jaji mkuu Martha Koome ameiongoza idara ya mahakama kumuomboleza Sheikh Abdul Halim Hussein akimtaja marehemu kama mwenye unyenyekevu na ambaye aliyewajibikia kazi yake