Rais William Ruto adai kuwa maandamano ni jaribu la kupundua serikali

1 week ago 220


Rais William Ruto sasa anasema maandamano ya Sabasaba yalikuwa majaribio ya kuipindua serikali yake, akisema wote waliohusika kuwachochea waandamanaji watakamatwa na kufungwa. Akizungumza hapa Nairobi, Rais Ruto ametoa amri kwa maafisa wa polisi kuwapiga risasi wahuni ambao wataharibu mali ya umma akisema uvamizi wa vituo vya polisi ni uhaini.
Open Full Post