Rais Ruto atetea ujenzi wa kanisa katika ikulu ya Nairobi

2 weeks ago 440


Rais William Ruto hata muomba mkenya yoyote ruhusa au msamaha kwa kujenga kanisa katika Ikulu ya Nairobi. Ndio kauli yake kuhusu kanisa hilo litakalogharimu shilingi bilioni 1.2. Rais Ruto akisisitiza kuwa anatumia pesa zake binafsi kujenga kanisa hilo. Lakini huku rais akionyesha kutobabaishwa kwake na kauli za wakenya wanaopinga ujenzi huo, wakenya wameibua maswali kuhusu mipaka ya mali binafsi na mali ya umma kwa watumishi wa umma.
Open Full Post