Raila Odinga akosoa agizo la kuwapiga risasi raia
Aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinga vilevile amekashifu agizo la Rais William Ruto kuwapiga risasi mguuni wahuni wanaovuruga amani kwenye maandamano, na agizo la baadhi ya viongozi wa serikali kuwataka polisi kuwauwa raia.