Raila atetea pendekezo la mazungumzo

5 hours ago 2


Kinara wa ODM Raila Odinga ametetea pendekezo la kufanyika kwa mazungumzo ya kitaifa, akisema ndio njia ya pekee ya kuhakikisha amani humu nchini. Akizungumza katika kaunti ya Bomet, raila aliyeambatana na viongozi wengine wanaounga mkono serikali alikashifu vikali aliyekuwa naibu rais rigathi gachagua huku viongozi waliokuwepo wakisema upinzani hautaki maridhiano baina ya wakenya na unaendeleza ukabila
Open Full Post