Rachel Ruto ataka shule kuzamia kilimo cha chakula

1 day ago 3


Mkewe rais, Rachael Ruto ametoa changamoto kwa shule za humu nchini kuzamia kilimo cha chakula ili kuwahakikishia wanafunzi lishe shuleni.
Open Full Post