Polisi wa kike aliyeviziwa, akapigwa na waandamanaji asimulia yaliyomfika: "Sisi pia ni binadamu"
3 days ago
12
Emily Kinya, mama ya watoto wawili, alisimulia jinsi jeraha la mguu alipokuwa akitoroka umati wenye hasira lilimwacha katika hatari mikononi mwa waandamanaji.