Okiya Omtatah asema alikataa KSh 10m kutoka kwa serikali ili kuunga mkono kung'atuliwa kwa Gachagua

1 week ago 220
Seneta wa Busia Okiya Omtatah alidai serikali ililipa maseneta KSh 10 milioni kila mmoja ili kumshtaki aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua Oktoba mwaka jana.
Open Full Post