Nyandarua: Wenyeji wachoma moto kituo cha polisi baada ya mwandamanaji kupigwa risasi

5 days ago 6
Umati wenye hasira ulichoma moto Kituo cha Polisi cha Ndunyu Njeru baada ya kukamatwa kwa washukiwa wa wezi wa mifugo. Mtu mmoja alipigwa risasi.
Open Full Post