Nyamira: Wakazi Wateketeza Kituo cha Polisi cha Itibo Baada ya Askari Kumpiga Risasi Mwanafunzi
Wanafunzi kutoka Nyamira National Polytechnic walikuwa wakiandamana wakilalamikia barabara mbovu, ukosefu wa umeme na utawala mbaya wakati tukio hilo lilipotokea.