Ndiangui Kinyagia: Bosi wa DCI Amin Asema Bloga Aliyetoweka Hayuko Rumande, Amtaka Ajisalimishe
4 days ago
4
Mahali alipo bloga na mtaalamu wa Teknolojia mwenye umri wa miaka 31, Ndiangui Kinyagia, bado hajulikani, huku Idara ya DCI ikikanusha kuwa wanamzuilia.