Ndiangui Kinyagia Ajitokeza Kutoka Mafichono Akifuchua Kutishiwa Maisha na DCI
2 days ago
3
Ndiangui Kinyagia aliyetoweka kwa siku kadhaa amefufuka akiwa salama. Alijificha akihofia kukamatwa na sasa anapanga kufika mahakamani chini ya ushauri wa kisheria.