Ndiang'ui alikuwa ameripotiwa kutoweka

1 day ago 2


Mwanablogu Ndiangui Kanyagia, aliyeripotiwa kupotea kwa jumla ya siku 13 alifika mahakamani, dakika chache kabla ya kesi ya kumtaka mkurugenzi wa DCI Mohammed Amin kueleza mahakama aliko kanyagia.
Open Full Post