Nairobi: Mwanahabari wa Royal Media aibiwa simu baada ya kutoka studio, CCTV yanasa kila kitu
Picha ya CCTV ilinasa wakati simu ya rununu ya mwanahabari wa Royal Media Service ilipoporwa alipokuwa akitoka workplace mchana kweupe. Wezi walikuwa kwenye bodaboda.