Mzozo wa uongozi kanisani Methodist - Citizen TV Kenya

17 hours ago 55


Mvutano mkali wa uongozi umezuka katika Kanisa la Methodist Kenya huku Askofu Mkuu Isaya Deye akilalamikia njama za kumwondoa ofisini kinyume cha sheria na katiba ya kanisa hilo. Deye amesema kuwa baadhi ya viongozi wa zamani walivamia ofisi yake licha ya amri ya mahakama kuzuia, na kuitaja hatua hiyo kuwa dharau kwa mahakama. Aidha, amesema kanisa linakabiliwa na deni la zaidi ya shilingi milioni 340 kwa KRA, na juhudi za kufanya mageuzi ya uongozi na kupambana na ufisadi zinaendelea
Open Full Post