Mwanamume mmoja ameteketezwa hadi kufa Kisii

1 day ago 2


Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50 ameteketezwa hadi kufa katika eneo la Sungubo, huko Nyacheki kaunti ya Kisii baada ya kumuua mkewe
Open Full Post