Mwanamke raia wa Sudan Kusini atapeliwa KSh 580k na Sangoma wa Kitui, aanika mazungumzo yao WhatsApp

5 days ago 8
Mama wa watoto watatu kutoka Juba, Sudan Kusini alijuta kumwamini mganga kutoka Kitui aliyemlaghai KSh 580,000 za pesa za biashara na kunyamaza kimya.
Open Full Post