Mwanafunzi kutoka Kaunti ya Nandi augua kiharusi wiki 2 baada ya kutua Australia, afariki dunia
3 days ago
9
Mkenya mwenye umri wa miaka 27 kutoka kijiji cha Chebarus, wadi ya Ndalat, eneo bunge la Mosop kaunti ya Nandi alifariki nchini Australia Kusini alipokuwa akitibiwa.