Mwanablogu Ndiangui Kinyagia Hatimaye Ajitokeza Mahakamani Baada ya Kujificha kwa Siku 13
1 day ago
1
Ndiangui Kinyagia alikuwa ametoweka na hivyo kusababisha wasiwasi mwingi. Mwanablogu na mtaalam wa IT, hata hivyo, amejitokeza na anaonekana kuwa na afya njema.