Mshukiwa wa mauwaji kufikishwa Mahakamani Jumatatu - Citizen TV Kenya
Maafisa wanaochunguza mauaji ya mgonjwa katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta wamefichua kuwa kamera za CCTV katika wodi hiyo hazikuwa zinafanya kazi. Licha ya hayo polisi wanasisitiza kuwa wana ushahidi wa kutosha kumshtaki kennedy kalombotole kwa mauaji ya Edward Maina.