Msafara waingia eneo la nyanza kuanzia Migori - Citizen TV Kenya

7 hours ago 55


Msafara wa MPESA sokoni umeingia Maeneo ya nyanza kwa shamrashamra za sherehe ya miaka 18 ya huduma za MPESA nchini. Watangazaji wa vigor national na ramogi fm, stesheni zinazomilikwa na kampuni ya royal media services, wamebeba ujumbe wa Mpesa sokoni. Kampuni ya safaricom imeshirikiana na royal media services kufanikisha shughuli hii
Open Full Post