Msafara wa MPESA waendelea kwa siku ya pili eneo la Rift Valley

7 hours ago 1


Msafara wa Mpesa Sokoni umeingia siku yake ya pili leo katika Bonde la Ufa kwa kuzuru kaunti za Uasin Gishu, Trans Nzoia na West Pokot. Kampuni ya Safaricom imeshirikiana na vituo vya Royal Media Services vya Radio Citizen na Chamgei fm kueneza ujumbe wa MPESA mashinani kama njia ya kuadhimisha miaka 18 ya huduma za MPESA nchini.
Open Full Post