Msafara wa mpesa sokoni wazuru Baringo - Citizen TV Kenya
Msafara wa MPESA Sokoni katika ukanda wa Bonde la Ufa umetamatika kwa ziara ya kukata na shoka katika kaunti ya Baringo. Msafara huo umezuru zaidi ya vituo 30 katika eneo hilo kwa madhumuni ya kuadhimisha miaka 18 ya huduma za MPESA nchini. Safaricom imeshirikiana na kampuni ya Royal Media Services kufanikisha mchakato huu.