Msafara wa Mpesa Sokoni umeanza Uasin Gishu
Msafara wa Mpesa Sokoni eneo la Bonde la Ufa umeng’oa nanga katika soko la Turbo, Kaunti ya Uasin Gishu. Watangazaji kutoka Radio Citizen na Chamgei FM pamoja na waakilishi wa Safaricom wakifikisha uhondo wa MPESA mashinani kusherehekea miaka 18 ya huduma za MPESA