Msafara wa Mpesa sokoni eneo la Mlima Kenya - Citizen TV Kenya
Msafara wa MPESA Sokoni umeingia siku yake ya pili katika ukanda wa Mlima Kenya, huku wakazi wa Mukurwe-ini, Karatina, Nyeri na Chaka wakisubiri kwa hamu uhondo wa msafara huo. Watangazaji wa Inooro FM na Radio Citizen wako msafarani, wakiongoza ujumbe wa MPESA Sokoni, Safaricom ikitumia jukwaa hili kama mojawapo ya njia za kusherehekea miaka 18 ya huduma za MPESA nchini