Mohammed Ali wa UDA amwambia Murkomen kuchunga ulimi wake la sivyo kimrambe: "Watu wamekuchoka"

3 days ago 11
Mbunge wa Nyali Mohammed Ali ameachana na wenzake wa United Democratic Alliance (UDA), akimsuta vikali Waziri wa Usalama wa Ndani Kipchumba Murkomen.
Open Full Post