Mkewe Albert Ojwang Avunjika Moyo Akiyakumbuka Maneno ya Mwisho ya Mumewe: "Nakupenda"
3 days ago
3
Mjane wa Albert Ojwang, Nevnina, alivunjika kwa uchungu alipokuwa akieleza maneno ya mwisho ya mumewe wakati wa ibada ya wafu katika Kanisa la Ridgeways Baptist