Mkenya Akaribia Kumuua Mamake kwa Kuiba Pesa Zake Zote Alizomtumia Akiwa Qatar
2 days ago
3
Mwanamume mmoja Mkenya amejitokeza mtandaoni akiwa na machozi baada ya kusambaza kisa chake cha kuhuzunisha kwenye TikTok kuhusu jinsi mamake alivyoiba pesa zake.