Miguna Miguna Asimulia kwa Uchungu Fred Matiang’i Alivyomtesa
Wakili Miguna Miguna alisimulia mateso aliyokumbana nayo wakati wa kufukuzwa kwake, akimshutumu aliyekuwa Waziri Mkuu Fred Matiang’i kwa matumizi mabaya ya mamlaka.