Mighty Eagles waelekea Denmark
Timu ya soka ya Mighty Eagles kutoka mtaa wa mabanda wa Shimo la Tewa, kaunti yaTrans Nzoia, imepata nafasi ya kihistoria kushiriki michuano ya Dana Cup nchini Denmark baada ya kupata ufadhili wa shilingi milioni mbili kutoka kwa msaidizi wa rais, Faruk Kibet