Mchungaji Ng'ang'a afunguka kuhusu mwanawe mlevi, afichua kuwa alimzuia: "Hawezi kunisumbua" - Tuko.co.ke
Mwinjilisti maarufu wa televisheni Mchungaji James Ng'ang'a amezungumza kuhusu mwanawe ambaye anapambana na ulevi na kufichua ni kwa nini alikatiza mawasilaino naye.