Mchuano wa voliboli ya walemavu Afrika

1 day ago 4


Licha ya kutofanya vyema kwenye mchuano wa voliboli ya walemavu afrika, timu ya kenya iliyojikatia tiketi ya mashindano ya dunia, imeahidi kujipanga na kurekebisha makoa yao ili kupata nafasi tatu bora
Open Full Post