Mbunge wa Manyatta Gideon Mukunji afikishwa kortini
Tuelekee katika mahakama ya kahawa, ambapo kesi dhidi ya mbunge wa Manyatta GIdeon Mukunji pamoja na washukiwa wengine inatarajiwa kuanza. Awali, mahakama ilisitisha kikao kwa muda ili kumpa nafasi afisa anayeshughulikia uchunguzi kuwafikishi kotini washukiwa. Mukunji anakabiliwa na mashtaka ya kuchochea, kuzua vurugu na uharibifu wa mali. Hakimu Kiprono Koech anatarajiwa kutoa uamuzi iwapo washukiwa watawachiliwa kwa dhamana au la