Mbunge wa Fafi alaumu UNHCR kwa kupunguza chakula - Citizen TV Kenya

8 hours ago 55


Mbunge wa Fafi Salah Yakub amekosoa uamuzi wa shirika la kusimamia wakimbizi eneo la Dadaab UNHCR wa kupunguza kiasi ya chakula walichokuwa wakipokea wakimbizi hao
Open Full Post