Mashirika ya kutetea haki yamkosoa Rais Ruto

1 week ago 165


Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu mjini Mombasa inaitaka serikali kutafuta suluhu kuhusu malalamishi ya vijana badala ya kutumia vitisho. Wakizungumza huko Mombasa, wanaharakati hao wamelaani amri iliotolewa na Rais William Ruto na kuungwa mkono na Mbunge wa Belgut Nelson Koech kuhusu kupigwa risasi kwa raia wakisema ni kinyume cha sheria
Open Full Post