Mashine 35 za kamari zimeteketezwa Tharaka Nithi
Kamishna wa Kaunti ya Tharaka Nithi, David Gitonga, pamoja na Kamanda wa Polisi wa Kaunti hiyo, Zaccheus Ng'eno,waliongoza zoezi la kuteketeza mashine 35 za kamari zilizokamatwa katika operesheni dhidi ya michezo ya kamari