Mashaidi zaidi wafikishwa mahakamani mjini Nakuru kwenye kesi ya mvuvi Brian Odhiambo
Mashahidi watano zaidi wamefika mahakamani kwenye kesi ya kutoweka kwa mvuvi wa Nakuru Brian Odhiambo. Mashahidi hao wameieleza mahakama kuwa Brian alioneakana mara ya mwisho akiwa na afisa wa KWS kabla ya kutoweka kwake januari mwaka huu.