Marehemu Phoebe Asiyo azikwa kama mzee wa jamii ya waluo - Citizen TV Kenya
Aliyekuwa mwenyekiti wa kwanza ya chama cha maendeleo ya wanawake na mbunge wa pili wa eneo bunge la Karachuonyo Phoebe Asiyo atazikwa kwa heshima na taadhima kama Mzee wa jamii ya waluo